MAMBO YA MUHIMU KWA YAI LA KUTOTOLESHA
- Yai lisizidi siku saba 7 mpaka nane 8 tangu kutagwa.
- Mayai yahifadhiwe kwenye trei yakitoka kuokotwa bandani
- Zingatia uwiano wa majogoo kwa majike 1:8-10
- Mayai ya mtago wa kwanzasio mzuri kwa kutotoleshwa
- Mayai ya kuku mzee sio mazuri kwa kutotolesha
- Watagaji wanatakiwa kupata chakula bora na cha kutosha
- Mayai yaifadhiwe sehemu isiyo na joto kali
- Mayai machafu hayafai kwa kutotelesha
- Mayai madogo sana hayafai kwa kutotolesha
- Mayai yenye kreki hayafai kwa kutotolesha
- Mayai yenye umbo kuzbwa sana hayafai kwa kutotolesha
- Mayai yenye viini viwili hayafia kwa kutotolesha
- Yai lisihifadhiwe kwenye friji
- Unapohifadhi mayai kwenye trei kulikochongoka kuangalie chini
- Tengeneza viota vya kutagia
No comments:
Post a Comment