Bamia ni zao linalolimwa karibia maeneo yote ya Tanzania na
linastawi vizuri kulingana na takwimu mbalimbali. Pia Bamia huchukua siku 60
mpaka 70 toka kupanda na kulima kulingana na aina ya mbengu. Na zifuatazo ni
baadhi ya faida mbalimbali zitokanazo na Bamia kutoka katika tafiti mbalimbali
zilizokwishafanyika kuhusiana na bamia.
1.
Michirizi na utomvu unaopatikana katika Bamia,
husaidia kusawazisha Kisukari kwa kuzuia kiwango cha Sukari inayotumika katika
mwili kutoka kwenye utumbo mkubwa.
2.
Utelezi wa bamia huchuja uchafu unaoingia katika
Kolestorali (cholesterol) na asidi ya Nyongo unaoingia kutoka kwenye Ini ambao
usipo dhibitiwa huenda ikasababisha matatizo ya ki-afya.
Bamia husaidia kulainisha Utumbo mkubwa (large intestines) kutokana na kazi yake ya kulainisha choo. Pia Bamia hutumika kwa kutibu vidonda vya Tumbo inasaidia kusawazisha Asidi.

3.
Inapunguza kolesrol
4.
Inatibu tatizo la kwenda hedhi mara kwa mara na change
la kike
5.
Inaongeza kinga ya mwili
6.
Inasaidia taitizo la kukosa choo
BAADHI YA MAGONJWA NA TIBA ZAKE
7.
Asidi ya Kujirudia rudia na Kufunga Choo
Tafuna vipande sita vya Bamia bila kutumia dawa nyigine kilasiku na Asidi ya Kujirudia rudia na kufunga choo kutakwisha, inashusha Sukari kutoka 135 hadi 98

8.
Pumu
Bamia ina Vitamin C ambayo inawafana watoto wanaougua ugonjwa wa pumu kupumua vizuri wanapoitumia. Nusu kikombe ya Bamia iliyopikwa huwa na miligramu 13 ya vitamin C.

9.
Kidonda Ndugu (Cancer)
Bamia husaidia kuweka Utumbo kuwa na hali nzuri hivyo kupunguza uwezakano wakuugua ugonjwa huu wa Kansa hasa kwenye utumbo mkubwa.

10.
Mishipa midogo ya Damu
Kula Bamia kwa wingi kunasaidia kuimarisha Mishipa midogo ya Damu.

11.
Cataracts (Upungufu wa Kuona)
Nusu kikombe cha Bamia iliyopikwa inakua na kiwango cha 460 IU ya vitamin A.ambayo inapunguza uwezakano wa kupata ugonjwa wa mtoto wa jicho (cataracts).

12.
Usongo (Depression) na Kukosa Nguvu
Bamia ni mboga bora zaidi kwa wale wanaojisikia dhaifu, Kuchoka na wanao athirika na Usongo (depression).

No comments:
Post a Comment