Thursday, January 28, 2016

FURSA MBALIMBALI ZA BIASHARA NA MIRADI


Baadhi ya biashara na miradi mbalimbali ambayo inafanyika hapa nchini


  1. Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha.
  2. Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha.
  3. Kutengeneza na kuuza tofali
  4. Ufundi, Website updating/Database: Katika Halmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya na Makampuni mbalimbali.
  5. Kuanzisha kituo cha redio na televisheni
  6. Kufunga na kutengeneza vifaa mbalimbali vya electroniki na mawasiliano mfano; compyuta na vifaa vya compyuta na mawasiliano.
  7. Kuuza software; mfano Antivirus, Operating Systems, Pastel, Tally, Myob, n.k
  8. Kushona na kuuza nguo.
  9. Kufungua Duka la kuuza nguo mpya; suit, socks, batiki, nguo za asili, Mashuka, Mashati, Suruali,
  10. Ufugaji wa mifugo mbalimbali mfano Kondoo, Mbuzi, Ng'ombe, Kuku, Bata, na wengine.
  11. Kufungua stationery, kuuza (supply) vitabu na vifaa mbalimbali ktk mashule na vyuo.
  12.  Kutoa ushauri mbalimbali wa Kitaalamu.
  13. Kuuza viazi, mahindi, mihogo, kutengeneza popcorn na kuziuza.
  14. Kusajili namba za simu na kuuza vocha
  15. Kuwa na mradi wa Pikipiki zisizotumia mafuta na zinazotumia mafuta
  16.  Kilimo cha mazao mbalimbali kulingana na hali ya hewa ya sehemu husika.
  17. Kuuza Mitumba
  18. Kusimamia miradi mbalimbali
  19. Kufungua duka la kuuza mitambo mbalimbali
  20. Kufungua banda la chakula na chips
  21. Kukodisha turubai viti na meza
  22. Kufungua Supermarket
  23. Kufungua Saluni
  24. Kufungua Bucha
  25. Video Shooting & Editing.
  26.  Kufungua Internet cafe
  27. Duka la kuuza matunda
  28. Kufungua duka la kuuza vifaa vya simu za mkononi na landline.
  29. Kufungua duka la vifaa vya ujenzi; cement, vifaa vya umeme, duka la mabati
  30. Kutengeneza michoro mbalimbali ya majumba na miradi ya ICT
  31. Kuchapa vitabu, bronchures, n.k
  32. Kuanzisha kampuni ya ujenzi (Building contractor)
  33. Kuuza Vifaa vya umeme wa nishati ya jua (solar) ,battery, inverter na vifaa vingine vya solar n.k
  34. Kuuza maji kwa jumla na rejaleja.
  35. Kutengeneza na kuuza Unga wa lishe bora.
  36. Kukodisha Music
  37. Kuanzisha Mradi wa Taxi
  38.  Kuanzisha mradi wa Daladala
  39. Kuuza vifaa vya Kompyuta, laptops, converters, HDDs, Monitors, Softwares, CD Copiers na vifaa vingine.
  40. Kununua magenerator na kukodisha
  41. Kufungua kampuni ya kutoa huduma za simu
  42.  Kufungua kampuni ya kutoa huduma za internet (ISP)
  43. Kuuza mabati na vigae
  44. Kujenga apartments
  45. Kufungua Kisima cha mafuta ya taa au mafuta ya aina zote
  46. Kufungua Duka la samaki
  47. Kufungua Duka la nafaka
  48.  Kufungua Shule za Awali, Shule za Msingi, Sekondari na Vyuo.
  49. Kujenga hostel
  50. Kuuza vocha na ving'amuzi vya DStv, Zuku, Startimes, Easy TV, TNG, Digitech, Continental.
  51.  Kujenga mtambo wa kuzalisha umeme na kuuza katika viwanda na wananchi.
  52. Ufundi simu
  53. Kufungua Hospitali, Zahanati.
  54. Maabara ya Macho, Meno
  55. Kuchimba/Kuuza Madini
  56.  Kufungua ofisi ya kutoa huduma ya simu na fax
  57. Kuuza miti na mbao
  58. Kufungua Grocery, bar
  59. Kufungua studio ya kupiga na kusafisha picha
  60.  Kucharge simu/battery
  61. Duka la TV na vifaa vingine
  62. Kuanzisha biashara ya kuuza vyakula katika sherehe na tamasha mbalimbali (catering).
  63. Banda la kupigisha simu
  64. Kuuza na kushona Uniform za shule
  65. Kuanzisha duka la kuuza vitu kwa jumla.
  66. Kufungua gereji za kutengeneza bajaji, pikipiki na magari
  67. Kuuza vyuma, pembejeo, rake, jembe
  68. Kuuza fanicha
  69. Kufungua sehemu ya kuziba pancha za matairi ya magari na mitambo.
  70. Kujenga nyumba za kulala wageni (hotel)
  71. Kuagiza na kuuza vifaa vya aluminium.
  72. Kuuza vioo
  73. Kushona na kukodisha nguo za harusi
  74.  Kufungua yard kwa ajili ya kuosha magari
  75. Kuuza mashine za kuchomelea (welding machine).
  76. Kuuza vifaa vya kuvaa Site (boots, helmets etc)
  77.  Kununua mabasi kwa ajili ya kusafirisha wanafunzi
  78. Kufungua studio ya kutengeneza vipindi vya redio na televisheni
  79.  Kuanzisha ofisi ya michezo ya televisheni (TV Games)
  80. Kufungua benki
  81. Kuwa na malori ya kubeba kokoto na mchanga
  82. Kuuza vifaa mfano TV, CCTV Camera, n.k
  83. Kuwa dalali wa vitu mbalimbali
  84. Kuanzisha mradi wa kukodisha fork lift na winchi (crane)
  85. Kuanzisha kiwanda cha kutengeneza viatu.
  86. Kuanzisha viwanda mbalimbali
  87. Duka la vifaa vya simu na gadgets mbalimbali zinazoendana na mawasiliano ya Vodacom, TTCL, AIRTEL, TIGO, ZANTEL, n.k.
  88. Kujenga Ukumbi wa kukodisha kwa sherehe, mikutano mbalimbali
  89. Kununua matrekta, mitambo ya ujenzi wa barabara na kukodisha
  90. Kutengeneza antenna na kuuza
  91. Kufungua mradi wa Machine za kusafisha, kutoboa na kuchana mbao
  92. Kufungua mradi wa kuuza vifaa vya Umeme wa kutumia upepo
  93. Biashara ya kuagiza magari
  94. Kufanya biashara za Jukebox
  95. Kukodisha matenki ya maji
  96. Kufungua duka la kuuza Asali
  97. Kutengeneza Mikokoteni/ matoroli na kuikodisha
  98. Kufungua Duka la vinyago, batiki
  99. Kuanzisha huduma ya AIRTEL MONEY, MPESA, TIGOPESA, EZY PESA
  100. Kuanzisha sehemu ya kufanyia mazoezi (Gym).
  101. Kununua na kuuza vifaa vya kupima ardhi.
  102. Kufungua duka la kuuza dawa (pharmacy).
  103. Kufungua Kampuni ya Ulinzi
  104. Kufungua kampuni ya "Clearing and fowarding"
  105. Kuchezesha vikaragosi
  106. Kuuza spea za bajaji, magari na pikipiki
  107. Kuuza baiskeli
  108. Kuuza magodoro
  109. Kuuza vyombo mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya nyumbani mfano bakuli, sahani, vikombe, vijiko,
  110. Kuuza marumaru (limestones)
  111. Kuuza kokoto
  112. Kuuza mchanga
  113. Kufundisha Tuisheni
  114. Biashara za bima
  115. Kampuni ya kusafirisha abiria kwa njia ya anga (ndege)
  116. Biashara za kitalii
  117. Biashara za meli na maboti.
  118. Kampuni ya kuchimba visima
  119. Kufungua ofisi ya wakili/mawakili wa kujitegemea
  120. Kuuza mkaa
  121. Kutengeneza mashine za kutengeneza tofali
  122.  Kampuni ya kupima ardhi
  123. Kampuni ya magazeti
  124. Kuchapa (printing) magazeti
  125. Kuuza magazeti
  126.  Kuchimba mafuta
  127. Kiwanda cha kutengeneza mabati
  128. Kiwanda cha kutengeneza fanicha
  129. Kiwanda cha kutengeneza matairi
  130. Kutengeneza vitanda vya chuma
  131. Kununua nyumba katika Maghorofa (Apartments) na kuzikodisha.
  132. Kukodisha makapeti
  133. Kupamba maharusi na kumbi za harusi/sherehe.
  134. Mashine ya kusaga na kukoboa nafaka.
  135. Kazi ya ususi na kusafisha kucha.
  136. Kuuza Gypsum
  137. Malori ya kubeba mafuta na Mizigo
  138. Duka la kuuza mboga za majani
  139. Duka la kuuza maua.
  140. Kampuni ya kuzoa takataka
  141. Kampuni ya kuuza magari
  142. Kuuza viwanja
  143. Uvuvi
  144. Kutengeneza na kuuza nguzo za kujengea fensi
  145. Uchoraji wa mabango.
  146. Duka la kuuza silaha
  147. Ukumbi wa kuonesha mpira
  148. Biashara ya mlm (network marketing)
  149.  Yadi kwa ajili ya kupaki magari
  150. Mradi wa trekta za kukodisha kwa ajili ya kilimo

KWA MAONI NA MSAADA KWA AJILI YA NJIA MBALIMBALI KUANZISHA MRADI USISITE KUNITAFUTA KWA MWONGOZO.

No comments:

Post a Comment