MAMBO YA MUHIMU KWA YAI LA KUTOTOLESHA

Image result for incubator
  1. Yai lisizidi siku saba 7 mpaka nane 8 tangu kutagwa.
  2. Mayai yahifadhiwe kwenye trei yakitoka kuokotwa bandani
  3. Zingatia uwiano wa majogoo kwa majike 1:8-10
  4. Mayai ya mtago wa kwanzasio mzuri kwa kutotoleshwa
  5. Mayai ya kuku mzee sio mazuri kwa kutotolesha
  6. Watagaji wanatakiwa kupata chakula bora na cha kutosha
  7. Mayai yaifadhiwe sehemu isiyo na joto kali
  8. Mayai machafu hayafai kwa kutotelesha
  9. Mayai madogo sana hayafai kwa kutotolesha
  10. Mayai yenye kreki hayafai kwa kutotolesha
  11. Mayai yenye umbo kuzbwa sana hayafai kwa kutotolesha
  12. Mayai yenye viini viwili hayafia kwa kutotolesha
  13. Yai lisihifadhiwe kwenye friji
  14. Unapohifadhi mayai kwenye trei kulikochongoka kuangalie chini
  15. Tengeneza viota vya kutagia
Share on Google Plus

About kilimo uchumi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment