leo ningependa kuongelea Ratiba ya Chanjo kwa kuku kuanzia siku ya kwanza.
Siku ya 1: wapewe chanjo ya Mareks
Wiki ya !: Wapewe chanjo ya Newcastle (Mdondo/Kideri)
wiki ya 2: Wapewe chanjo ya Gumboro ( Infectious Bursar Disease)
Wiki ya 3: Wapewe chanjo ya Newcastle (Mdondo/Kideri) kumbuka unarudia baada ya kuwapa wiki ya kwanza
Wiki ya 4: Wapewe chanjo ya Gumboro ( Infectious Bursar Disease)
Wiki ya 5: Fowl Pox (Ndui)
Zingatia: Rudia chanjo ya Newcastle kila baada ya miezi mitatu
kwa mawasiliano na ushaurti bora katika ufugaji wa kuku
tuandikie kupitia
Email. Kilimouchumi@gmail.com
0 comments:
Post a Comment